Umuhimu wa kunawa mikono na kuiweka katika hali ya usafi linaweza kuonekana ni jambo la kawaida, na kwa baadhi huenda likawa ni jambo la ‘aibu’ kumkumbusha mtu anawe mikono anapotoka kwenye matembezi ...
Binadamu duniani kote wamekuwa wakipata shida kuacha mazoea waliokuwa nayo tangu jadi, mazoea hayo ni kutokuwa na mikusanyiko na pia kushikana mikono. Kushikana mikono kumekuwa ni jambo gumu kulingana ...